WATU TISA WAUAWA KATIKA MILIPUKO KATIKA GHALA LA RISASI CHAD
Watu tisa wameuawa na wengine 46 kujeruhiwa katika milipuko iliyosababishwa na moto katika ghala la silaha za kijeshi katika mji mkuu wa Chad jana usiku. Kwa mujibu wa waziri wa afya Abdelmadjid Abderahim Idadi ya waliofariki inaweza kuongezeka huku watu wengi wakipata majeraha mabaya. Milipuko hiyo ilitanda angani usiku juu ya kambi ya kijeshi karibu […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































