GEORGIA KUTOA MAKALI YAO DHIDI YA SPAIN

Willy Sagnol ameonya kwamba Georgia itapambana dhidi ya Uhispania baada ya timu yake kuweka historia kwa kutinga hatua ya 16 bora ya Euro 2024. Georgia wanakabiliwa na mtanange mgumu dhidi ya Uhispania walio katika fomu, baada ya kuwalaza Ureno 2-0 mjini Gelsenkirchen na kufuzu kutoka Kundi F katika mechi yao ya kwanza kabisa katika michuano […]

KIPYEGON KUPEPERUSHA BENDERA YA KENYA

Mshikilizi wa rekodi ya dunia mara mbili, faith Kipyegon ataongoza safu ya mabingwa wa dunia na Ulaya katika mkondo wa nane ya Ligi ya Diamond msimu huu Julai 7, akirejea uwanjani ambako alivunja rekodi ya dunia ya mita 5000 mwaka jana. Kipyegon aliweka historia mwaka wa 2023 akiwa mwanariadha wa kwanza kuvunja rekodi zaidi ya […]

VIONGOZI WETU NI WAZEMBE; WAKAAZI WA ADU WASEMA

Wakaazi wa wadi ya Adu eneo bunge la magarini kaunti ya Kilifi wameendelea kulalamikia kulemazwa kwa miradi ya maendeleo kufuatia kile wamekitaja kuwa kuzembea kwa viongozi wao. Imetayarishwa na Janice Marete

LSK YATOFAUTIANA NA UAMUZI WA MAHAKAMA

Chama cha mawakili nchini LSK kimekosoa uamuzi wa Jaji Laurence Mugambi kwamba wanajeshi wa KDF wahusishwe katika kuwakabili waandamanaji. Kwa mujibu wa rais wa LSK Faith Odhiambo utaratibu uliotumika kuwatuma wanajeshi hao ulikiuka katiba huku akisikitikia uamuzi wa mahakama. Odhiambo amesema kuwa uamuzi wa jaji Mugambi huenda ukasababisha visa vya uvunjaji sheria. Imetayarishwa na Nelson Andati

KIPKURUI ABEBA MEDALI

Bingwa wa dunia wa mbio za nyika kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 Ishmael Kipkurui alipata ushindi mnono katika fainali ya mita 5000 katika siku ya kwanza ya mchujo wa kitaifa kufuzu kwa mashindano ya Ulimwengu kwa chipukizi wasiozidi miaka 20 kwenye Uwanja wa Kitaifa wa Nyayo. Kipkurui alitumia dakika 13:42:71 mbele ya Andrew […]

UCHOVU ULICHANGIA BUNGOMA QUEENS KUSHINDWA

Nahodha wa Bungoma Queens Centrine Simiyu amesema kwamba uchovu ulichangia kichapo chao cha jana cha mabao 10-0 dhidi ya Ulinzi Starlets. Simiyu amesema walichelewa katika safari yao kuelekea mjini Kisumu ilikoandaliwa mechi hiyo, ya ligi kuu soka nchini Kenya hivyo basi kuingia ugani katika hali ya uchovu. Centrine sasa anawaomba wasimamizi wa klabu hiyo kuchangamka […]

EMERGING STARS WAZIDI KUTAMBA

Timu ya Kenya ya vijana chini ya umri wa miaka 23, Emerging Stars, imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa watetezi Zambia na kupeleka taarifa kubwa ya nia ya kuwania Kombe la COSAFA 2024 lililoanza leo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela Bay huko Port Elizabeth, Afrika Kusini. Mchezaji wa Gor Mahia Austin Odhiambo […]

HATUA ZA KITAALAMU ZA KUKABILI MABADILIKO YA HALI HEWA MASHINANI

Mpango wa ufadhili wa kijani wa Kenya uko katika hatua mahususi kwa wenyeji kuthibitisha mikakati yao katika kutekeleza miradi ya kuwaendeleza ndani ya maeneo yao kutokana na athari mbaya za mabadiliko ya tabianchi. Ofisi tanzu ya Hazina inayoshughulikia mpango wa Ufadhili wa Hali ya Hewa ya Ndani imethibitisha kushuhudia pengo la maarifa ya mabadiliko ya […]

ROMANIA YAFIKA ROBO FAINALI

Romania na Slovakia zote zilifuzu kwa hatua ya 16 bora kwenye Euro 2024 baada ya sare ya 1-1 katika mchezo wao wa mwisho wa Kundi E Jumatano. Ondrej Duda aliiweka Slovakia mbele katika kipindi cha kwanza lakini Razvan Marin wa Romania akasawazisha kwa mkwaju wa penalti kabla ya muda. Huku timu zote nne katika kundi […]

KENYA MORAN WATIA FORA

Timu ya Kenya ya mchezo wa raga ya wachezaji saba saba, Kenya Morans, wazidi kutia   bidii katika mazoezi wanapojiandaa kwa Mashindano yajayo ya Afrika 7s nchini Mauritius wikendi hii. Morans wamekuwa katika mazoezi ya pamoja na timu ya, Shujaa, ambao wanaelekea kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris, na kocha msaidizi wa Shujaa Louis Kisia ambaye […]