MALKIA STRIKERS WASEMA WAKO TAYARI
Nahodha wa Malkia Strikers, Trizah Atuka amesema timu iko tayari kwa majukumu ya Kombe la FIVB Challenger na Michezo ya Olimpiki. Atuka mwenye umri wa miaka 32 ana uhakika mabingwa hao mara kumi wa Afrika watatangaza uwezo wao katika majukumu hayo mawili licha ya kuonekana kuwa wanyonge. Atuka amewapongeza wadhamini ambao wamejitokeza ili kuongeza maandalizi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































