WATU 13 WAUAWA KATIKA MAANDAMANO
Watu 13 wamedhibitishwa kufariki dunia na wengine 150 kujeruhiwa katika maandamano huku mashirikia ya kutetea haki za binadamu yakiendeleza shutumu dhidi ya serikali kwa kutumia nguvu kupita kiasi. Chama cha mawakili nchini LSK kikiongozwa na rais wao Faith Odhiambo kimeahidi kuwasaidia waadhiriwa wote kutafuta haki kwa wapendwa wao. Hussein Khalidi mkurugenzi wa haki Afrika amesema […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































