POLISI WAMHUSISHA GACHAGUA NA MAANDAMANO

Polisi wamewahoji wasaidizi watatu wakuu wa naibu Rais Rigathi Gachagua na wabunge wawili kutoka kaunti ya Nairobi kuhusiana ufadhili wa maandamano ya kupinga mzigo wa ushuru na uongozi mbaya serikalini. Kwenye uchunguzi huo, polisi wamezuru afisi za wasaidizi hao mtaani Karen ambako wamechukua taarifa za maafisa hao, huku makachero wa DCI wakiendelea kuchunguza visa vya […]

WAKENYA WAFELI KUJISAJILI KWA SHIF, SERIKALI YASEMA

Imebainika kwamba ni wakenya takribani 464,000 pekee ndio wamejisajili kwenye mpango wa afya ya jamii yaani SHIF inayolenga kuhakikisha afya kwa wote tangu uzinduzi wa usajili huo mnamo tarehe 1 mwezi huu, serikali ikitaja kesi za kupinga mpango huo kuwa miongoni mwa vizingiti. Kupitia taarifa, katibu katika idara ya huduma za kimatibabu Harry Kimutai amesema […]

KUWA MWALIMU NI MWITO

Walimu nchini wamehimizwa kufanya kazi yao kwa ueledi na kuheshimu walimu wakuu Pamoja na washikadau wengine katika sekta ya elimu ili kuimarisha sekta hiyo. Robert Soita aliyekuwa afisa wa kutathmini ubora wa elimu eneobunge la Webuye magharibi kaunti ya Bungoma kuwa mwalimu ni mwito na hivyo kazi hiyo inapaswa kutekelexzwa kwa ueledi mkubwa. Imetayarishwa na Janice Marete

MAN U KATIKA NJIA PANDA

Wamiliki wa manchester united wanatarajia kufanya uamuzi wa mwisho iwapo watatumia shilingi bilioni 283 kwa minajili yakupata uwanja mpya wenye viti 100,000 ifikapo mwisho wa 2024. Mmiliki mwenza wa man united jim ratcliffe anataka kujenga ‘wembley ya kaskazini’ kwa ushirikiano na manispaa ya mji wa trafford, na kwa pamoja wameweka kikosi kazi kutathmini uwezekano wa […]

BUKEMBE WAZIDI KUONYESHA MAKALI YAO

Timu Ya Bukembe Fc Iliendelea Kufanya Vizuri Katika Ligi Ya Kaunti Ya Bungoma Baada Ya Kuicharaza Timu Ya Mayanja Bullets Fc Mabao Matatu Kwa nunge. Chemwa Fc Na Timu Ya Sirisia Fc Zilitoka Sare Ya Nunge Kwa Nunge ,Chepyuk Falcons Fc Ilitandika Timu Ya First Touch Fc Mabao Matatu Kwa Bila. Nalondo Fc Ikicharaza Timu […]

SHABANA WAANGUKIA NYOTA

Timu ya Shabana FC imewasajili beki wa kulia Nicholas Meja na fowadi James Mazembe, kutoka kwa wapinzani wao Bandari FC na KCB mtawalia. Katibu Mkuu Elizaphan Kerama amethibitisha kuwasili kwa wawili hao, na kufichua kuwa kesho watajiunga na wenzao katika uwanja wa Shule ya Upili ya Cardinal Otunga, kwa kambi ya mazoezi huko Mosocho. Wiki […]

MALKIA WAANZA NA MIKOSI

Malkia Strikers walianza vibaya Michezo ya Olimpiki ya Paris Jumatatu alasiri, kwa kufungwa seti 3-0 na mabingwa mara mbili Brazil katika mechi yao ya ufunguzi ya Kundi B Uwanja wa Kusini mwa Paris Arena 1 nchini Ufaransa. Malkia Strikers, walipoteza kwa seti za moja kwa moja 25-14, 25-13, na 25-12 dhidi ya taifa hilo linalo […]

MUGO SUPER CUP YATAMBA

Timu 41 zitamenyana kwenye mchuano wa Mugo Super Cup katika kaunti ya Lamu kikombe kilichodhaminiwa na mwenyekiti wa baraza la vyuma nchini ambaye pia ni kiongozi wa Lamu Francis Mugo. Mwenyekiti wa ligi ya Mugo Super Cup Hussein Miji ameeleza kwamba timu hizo 41 kutoka wadi zote za Lamu zimelipa shilling elfu mbili kila timu […]

OMTATA; WALIOFYATUA RISASI NA KUWAUA WAANDAMANAJI WAWAJIBISHWE

Mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu Okiya Omtata ameendelea kushinikiza uwajibikaji wa maafisa wa usalama waliohusika na vifo vwa watu zaidi ya 60 wakati wa maandamanao ya kupinga serikali. Katika barua yake kwa mamlaka ya kutathmini utendakazi wa maafisa wa polisi Omtata anataka idara hiyo kuchunguza amaafisa wa polisi waliofyatua risasi zilizowaua watu na kuwaacha […]

TIMU ZAPATA UFADHILI

Jumla Ya Timu Kumi Na Tatu Kwenye Michezo Mbali Mbali Zimepokea Fedha Za Ufadhili Kutoka Kwa Idara Ya Michezo Chini Ya Serikali Ya Kaunti Ya Vihiga. Kima Cha Shilingi Milioni 3.5 Zikitolewa Kwa Timu Hizo. Akizungumza Kwenye Hafla Ya Kutoa Hundi Hizo Gavana Wa Kaunti Ya Vihiga Wilber Khasilwa Ottichilo Anasema Kama Serikali Wanakumbwa Na […]