COLOMBIA WAWATEKA URUGUAY

Colombia iliishinda Uruguay 1-0 katika nusu-fainali ya Copa America licha ya kucheza kipindi cha pili ikiwa na wachezaji 10 pekee huku bao la kichwa la Jefferson Lerma la kipindi cha kwanza likitayarisha uamuzi wa taji dhidi ya mabingwa watetezi Argentina. Daniel Munoz wa Colombia alitolewa nje kwa kadi nyekundu mwishoni mwa kipindi cha kwanza huku […]

THURAM AJIUNGA NA JUVENTUS

Kiungo wa kati wa Ufaransa Khephren Thuram amejiunga na Juventus kutoka klabu ya Nice ya Ligue 1 kwa mkataba wa miaka mitano wa euro milioni 20. Thuram, 23, anafuata nyayo za baba yake, Lilian, beki wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa aliyeichezea Juventus kuanzia 2001 hadi 2006. Khephren Thuram, ambaye alizaliwa nchini Italia wakati baba […]

OLLIE ASAFIRISHA UINGEREZA HADI FAINALI

Engoliie alifunga bao la ushindi katika dakika za majeruhi wakati England ilipoilaza Uholanzi 2-1 jana Jumatano na kuingia katika fainali ya Euro 2024 na Uhispania mjini Berlin. Ilikuwa ni kumalisha kwa kushangaza kwa jioni ambayo ilianza vibaya kwa England, kwani Xavi Simons aliipatia Uholanzi uongozi wa mapema katika nusu fainali huko Dortmund. Hata hivyo, Uingereza […]

ULINZI WALINDA KOMBE LA FKF

Ulinzi Starlets wameandikisha historia kwa kuwalaza Kibera Soccer Ladies 2-1 na kufanikiwa kutetea taji lao la Kombe la Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) na kuwa washindi wa kipekee mara tatu katika mechi iliyochezwa katika Uwanja wa Police Sacco, Nairobi. Ulinzi Starlets walionyesha nia mapema kwenye mechi hiyo, baada ya Nahodha Sheryl Andiba kufunga bao […]

SAFARI YA GOR YAANZA KWA UBAYA

Gor Mahia walianza safari yao ya Kombe la Kagame kwa mkosi baada ya kufungwa 1-0 na Red Arrows ya Zambia katika mchezo wa Kundi B uliochezwa jana usiku katika Uwanja wa Chamazi Sports Complex, nchini Tanzania. Mechi hiyo ilikuwa ya kwanza kwa kocha Leonardo Neiva kuinoa Gor Mahia, na aliamua kwenda na kikosi cha kwanza […]

TUUNGANE TUKABILIANE NA UFISADI

Wakenya wamehimizwa kujitolea kuunga mkono michakato mbali mbali ya kupiga jeki juhudi za kumaliza ufisadi huku Kenya ikijiunga na mataifa mengine ya bara la afrika kuathimisha siku ya kukabili ufisadi, Africa Anti-corruption day barani humo. Kulingana na Kisumu County Accountability Alliance kikundi kinachojumuisha wanaharakati, kuna haja ya wananchi kukemea visa vya ufisadi na kuwaunga mkono […]

UCHAGUZI PEKEE NDIO UNAWEZA KUMTIMUA RUTO – CS KURIA

Waziri wa Utumishi wa Umma Moses Kuria sasa anasema Rais William Ruto anaweza tu kuondoka afisini kupitia uchaguzi mwingine. Kwa mujibu wa Kuria Ruto alichaguliwa na kuna uchaguzi mwingine unakujahuku akithibitisha kuwa njia pekee ni njia ya kidemokrasia, kwa Gen Zs kutumia nambari na sauti zao katika kupiga kura. Imetayarishwa na Janice Marete

SERIKALI SAIDIA

Matumaini ya Stephen Munyakho mkenya aliyehukumiwa kunyongwa nchini Yemen yanaendelea kudidimia baada ya waziri wa maswala ya nje na mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi kufichua kwamba serikali ya Kenya haina pesa za kulipa fidia ya shilingi milioni 150 inayodaiwa na familia ya marehemu. Munyakho huenda akanyongwa kabla ya mwezi huu wa Julai kukamilika iwapo pesa […]

WAKAZI WAMWUA MSHUKIWA KOROKORONI

Wakazi waliokuwa na ghadhabu wamevamia kituo cha polisi cha Gachocho kaunti ya Murang’a na kumwua mshukiwa anayetuhumiwa kumwua ndugu yake. Kulingana na ripoti ya polisi, wakazi hao wamevamia kituo hicho mchana huu baada yao kubaini kwamba mshukiwa huyo amekuwa akizuiliwa kwenye kituo hicho. Baada ya makabiliano baina ya polisi na wakazi, wamefanikiwa kuingia ndani ya […]

“UJUMBE UMEFIKA!” RAILA AKUBALI SHUTUMA ZA WAKENYA

Kinara wa Azimio Raila Odinga amekiri kwamba Wakenya hawataki mazungumzo ya kitaifa ambayo yeye kwa Pamoja na Rais William Ruto waliitisha hapo jana kujadili masuala yanayolikumba taifa. Kupitia akaunti ya mtandao wa kijamii wa X baada ya mkutano na viongozi wa ODM akiwemo Seneta Edwin Sifuna wa Nairobi, Eddie Oktch wa Migori na Crystal Asige, […]