VIHIGA QUEENS WAANZA MAANDALIZI KWA MSIMU UJAO

Licha Ya Kukamilisha Msimu Uliopita Wa Ligi Ya Wanawake Nchini Kwenye Nambari Mbili Timu Ya Kina Dada Ya Vihiga Queens Sasa Wameanza Mikakati Ya Kuona Kuwa Wanaendeleza Umaarufu Wao Msimu Ujao. Kocha Wa Timu Hiyo Bonface Nyamu Kwenye Mazungumzo Na Kituo Hiki Anasema Waligundua Makosa Waliyoanya Msimu Uliopita Na Wapo Tayari Kurekebisha Makosa Hayo. Nyamu […]

KENYA PRISON YAPATA SURA MPYA

Mshambulizi mahiri wa Kenya Prisons Meldina Sande, mshambuliaji wa DCI Jemimah Siang’u na libero wa KCB Lincy Jeruto wameondolewa kwenye kikosi cha mwisho cha Malkia Strikers kitakachoelekea kwa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024. Watatu hao walikuwa sehemu ya kikosi cha Malkia Strikers kilichofungwa 3-0 na Puerto Rico katika robo fainali ya Kombe la Challenger […]

HATUKUBALI MATOKEO ASEMA KOCHA MAYOYO

Mkufunzi mkuu wa timu ya wavulana ya St. Anthony’s Kitale Peter Mayoyo amepinga vikali matokeo ya mechi iliyochezwa juzi jumapili katika shule ya upili ya Kipkeikei baina yao na St. Joseph’s Kitale ambapo walicharazwa mabao mawili kwa nunge. Kocha Mayoyo amesema tayari wamefikisha malalamisi yao kwa idara husika huku wakisubiri kesi hiyo kusikilizwa hii leo. […]

JIMMY WANJIGY AMKASHIFU RUTO KWA KUTEUA JOPOKAZI

Mwanasiasa Jimmy wajigy amemkashifu rais William Ruto kwa kuteua jopo kazi la ukaguzi wa deni la umma ili kubaini hali ya deni la umma na kutathmini kama kulikuwapo na dhamani ya fedha zilizokopwaKwa mujibu wa Wajigy rais ruto anapaswa kuithinisha tume ya kimahakama ya uchunguzi inayoongozwa na majaji wanaofaa ambao watakusanya maoni kutoka kwa mashirika husika. […]

WAWILI WASHTAKIWA KWA MAUAJI ELDORET

Watu wawili wanaodaiwa kumuua mwanamume wa makamo miezi kadhaa iliyopita kwa kushukiwa kuwa jambazi wameshtakiwa kwa mauaji katika mahakama kuu ya Eldoret. Robert Kiplagat, mkulima mdogo na Alex Kiptoo, mwanafunzi wa Chuo cha Mafunzo ya Udaktari cha Kenya (KMTC) katika chuo kikuu cha Nairobi walipofika mbele ya Jaji Robert Wananda wakukanusha shtaka moja la mauaji. […]

EACC IMEFELI KUKABILIANA NA UFISADI

Seneta wa kaunti ya nyandarua John Miithu ameelekeza kidole cha lawama kwa tume ya kukabili ufisadi EACC kwa madai kwamba EACC imekuwa kiungo dhaifu katika vita dhidi ya ufisadi. Kwa mujibu wa Miithu wametuma faili 146 za ufisadi kwa EACC ila hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya watuhumiwa na tume hiyo huku akiwataka wahusika katika EACC kuwajibika. […]

MWINAMO AWASUTA GREEN COMMANDOS KWA KULIALIA

Mkufunzi Mkuu Wa Timu Ya Shule Ya Wavulana Ya Musingu Maarufu The Scorpion Ambayo Iliibuka Mshindi Kwenye Michuano ya Shule Za Upili Kakamega na Sasa Itaakilisha Kaunti Hiyo Kwenye Michuano ya Shule Za Upili Ngazi Ya Ukanda Wa Magharibi, Brendan Mwinamo Ametaja Hatua Ya Timu Ya Kakamega School The Green Commandos Kila Mara Kukata Rufaa […]

ULINZI STARLETS WAKO TAYARI KWA MICHEZO YA FKF

Miamba wa soka la akina dada nchini Kenya Ulinzi Starlets wamekamilisha maandalizi yao kulekea fainali ya kombe la FKF itakayosakatwa hii leo adhuhuri ugani Police Sacco Nairobi wakiongozwa na kocha mkuu Joseph wambua Mwanza aliyeeleza imani ya kunyakua taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo. Ulinzi walifuzu fainali hiyo kwa kuwabandua mabingwa wapya wa ligi […]

KARUA ATOFAUTIANA NA RUTO, RAILA

Kinara wa Narc Kenya Martha karua amepuzilia mbali hatua ya Rais William Ruto na kinara wa Azimio Raila Odinga kuitisha mazungumzo ya kujadili masuala ya yanayolikumba taifa, akisema hatua hiyo inalenga kuzima juhudi za vijana wa Gen Z kuleta mageuzi nchini. Kulingana na Karua, mazungumzo yatakuwa na umuhimu iwapo wahusika wanafanya hivyo kwa nia njema […]

KISUNZI CHA BARUA ZA MATABIBU

Madaktari wanagenzi waliokesha katika makao makuu ya wizara ya afya jijini Nairobi wangali katika eneo hilo wakishinikiza kupewa barua za uajiri. Wakizungumza na wanahabari, madaktari hao wamesisitiza kwamba hawataondoka bila barua, na kutaka waajiriwe kwa awamu moja tofauti na mpango wa wizara ya afya wa kutaka waajiriwe kwa awamu mbili. Viongozi wa muungano wa madaktari […]