MATAIFA YA AFRIKA MASHARIKI WASHIRIKI MCHUJO WA AFCON
Kenya, Uganda na Tanzania zitacheza mchujo wa kuwania kufuzu Fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) 2025 licha ya mataifa hayo matatu kuwa waandaji wenza wa michuano hiyo na wakiwa tayari wamehakikishiwa tiketi ya kushiriki. Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mataifa hayo matatu yatacheza mechi za kufuzu kwa ukanda wa CECAFA, […]
English 





























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































