APOSTLE MANYURU APINGA MSWADA ‘WA MUNGATANA’
Mwenyekiti wa muungano wa makanisa ya Pentecostal Voice of Kenya PVK ambaye pia ni kiongozi wa kanisa la Jesus Teaching Ministry Apostle Peter Manyuru, ameelezea hofu kuhusiana na mswada wa kudhibiti makanisa nchini, akisema mswada huo utalemaza shughuli za kanisa iwapo utapitishwa. Akizungumza na wanahabari jijini Nairobi akiwa ameandamana na viongozi wengine wa muungano huo, […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































