MWATSINGWA AIPA SS ASSAD USHINDI DHIDI YA MSA UNITED
SS Assad wamewashinda wenyeji Mombasa United, kwa bao 1-0 kwenye mechi ya Ligi ya Taifa Daraja la Pili (NSL) iliyochezwa jana Jumapili katika Uwanja wa Michezo wa Serani, Kaunti ya Mombasa. Hemed Mwatsingwa alifunga bao pekee la Assad katika dakika ya 15, kwa shuti la chini na kali lililomshinda mlinda lango wa Mombasa United, Kevin […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































