MIAKA 40 GEREZANI KWA KUMUUA MKEWE NA WATOTO WAKE WANNE
Paul Murage Njuki, mwanaume aliyemuuwa mkewe na watoto wake wanne mnamo Novemba 28, 2021, amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani. Njuki alijisalimisha kwa kituo cha polisi cha Kirinyaga, ambapo amekuwa akizuiliwa kabla ya kupelekwa kwenye Mahakama ya Gichugu. Mahakama Kuu ya Kerugoya kaunti ya Kirinyaga imemhukumu Njuki baada ya kupatikana na hatia ya kuua familia […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































