RUTO AZUNGUMZIA MAUAJI DHIDI YA WANAWAKE
Vita dhidi ya mauaji yanayowalenga wanawake nchini vimepigwa jeki baada ya Rais William Ruto kutangaza mgao wa shilingi milioni 100 kwa kampeni inayolenga kutoa hamasisho dhidi ya mauaji hayo. Akizungumza katika Ikulu ya Nairobi, Ruto amesema kuwa kampeni hiyo itaanza Jumatatu wiki ijayo ikilenga kutoa hamasisho kuhusu dhuluma za kijinsia. Aidha, amewataka wakenya kushirikiana dhidi […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































