SERIKALI YAKAZA KAMBA DHIDI YA KLINIKI NA SPA ZINAZOFANYA UPASUAJI HARAMU
Wamiliki wa kliniki za urembo na SPA ambazo ufanya upasuaji kinyume cha sheria wamejipata taabani baada ya wizara ya afya kuanzika msako mkali dhidi yazo Katibu wa Afya ya Umma, Mary Muthoni, amesema tathmini ilifanywa katika maeneo ya Nairobi, Mombasa, Nakuru, na Eldoret. Kati ya kliniki 26 zilizokaguliwa, 20 zilikuwa na leseni halali, tatu zilikuwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































