JOPO LA MAJAJI WATATU LAUNDWA KUAMUA HATIMA YA JAJI MKUU NA MAJAJI WA MAHAKAMA YA JUU
Hatima ya kesi inayohusu kuondolewa kwa Jaji Mkuu Martha Koome na majaji wengine wa Mahakama ya Juu itajulikana kupitia jopo la majaji watatu, Majaji Charles Kariuki, Lawrence Mugambi, na Bahati Mwamuye, watakaosikiliza na kutatua malalamiko hayo. Jopo hili limeanzishwa kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu kwamba kesi iliyoanzishwa na majaji wa Mahakama ya Juu inayoshutumu kusikilizwa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































