KWANINI NG-CDF, NGAF
Wengi wa wakenya wanaojitokeza katika vikao vya kukusanya maoni ya wakenya kuhusu ujumuishaji kwenye katiba hazina za NG-CDF na NGAF wameendelea kutetea hazina hizo, wakitaka zihalalishwe kwa misingi kwamba zinawafaidi. Zoezi hilo limeingia siku yake ya mwisho huku mamia ya wakazi wa eneo bunge la Teso Kaskazini kaunti ya Busia wakijitokeza katika ukumbi wa TSC […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































