UBONGO WA MCHUUZI KARIUKI WAFA
Familia ya mchuuzi wa maski Boniface Kariuki aliyepigwa risasi katikati mwa jiji la Nairobi imeingiwa na hofu, baada ya madaktari katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta kutangaza kwamba ubongo wa Kariuki umekufa, ikimaanisha hauwezi kufanya kazi tena. Ikiongozwa na msemaji wake Emily Wanjira, familia hiyo imeonyesha kutamausha, huku ikiomba msaada kuhusu bili ya hospitali ambayo […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































