WANAHARAKATI WASHINIKIZA NJERI AACHILIWE

Huenda shughuli za biashara zikatatizika hii leo jijini Nairobi kutokana na maandamano ya wanaharakati ambao wametangaza kuandamana ili kushinikiza kuachiwa huru kwa mwenzao Rose Njeri aliyekamatwa Ijumaa iliyopita na kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Pangani. Njeri alikamatwa baada ya kutengeneza tovuti inayowawezesha wakenya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2025/26, huku juhudi za […]