NAIROBI UNITED YAPANDISHWA DARAJA
Nairobi United inaadhimisha muongo mmoja tangu kuanzishwa kwake kwa mtindo wa kuvutia, ikiwa tayari imepanda daraja hadi Ligi Kuu ya FKF kwa kushinda taji la National Super League (NSL). Sasa, timu hiyo inalenga kutawaza msimu wake kwa kunyanyua Kombe la Mozzart Bet FKF katika fainali ya Jumapili dhidi ya mabingwa wa rekodi ya Ligi Kuu […]
English 


















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































