MAAFA YA MAANDAMANO
Watu 8 wameripotiwa kuaga dunia huku wengine zaidi ya 400 wakijeruhiwa hapo jana kwenye makabiliano kati ya polisi na waandamanaji waliokuwa wakiadhimisha mwaka mmoja tangu kuuawa kwa zaidi ya wakenya 60 wakati wa maandamano ya mwaka jana. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa tume ya kitaifa kuhusu haki za kibinadamu Dakta Raymond Nyeris, maafa hayo yaliripotiwa […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































