100 WAENDA “MTEJA” KWENYE MADARAKA
Zaidi ya wakenya 100 walipoteza simu zao kwenye uwanja wa Raila Odinga mjini Homa Bay wakati wa maadhimisho ya sherehe Madaraka za mwaka huu, nyingi ya simu zikiibwa usiku umati mkubwa ulipokuwa ukiingia uwanjani humo. Haya ni kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa kaunti ya Homa Bay Lawrence Koilem, akisema idara ya upelelezi DCI […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































