WAHUDUMU WA UHC WAKANA KUWA ‘HEWA’
Utata unaokumba uajiri wa wahudumu wa afya ya wote UHC umechukua mkondo tofauti, wahudumu hao sasa wakipinga madai ya mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza la magavana na ambaye pia ni gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki kwamba kuna wafanyakazi hewa zaidi ya 3,000 miongoni mwao. Kulingana na wahudumu hao, madai ya gavana huyo […]
English 




































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































