BUNGE LAIDHINISHA MAKAMISHNA WA IEBC
Makamishna 6 walioteuliwa kuhudumu katika tume ya IEBC Pamoja na mwenyekiti wake wameidhinishwa rasmi na bunge baada ya kuwasilishwa na kujadiliwa kwa ripoti ya kamati ya haki na sheria JLAC bungeni. Wabunge kwa Pamoja wameidhinisha saba hao kuhudumu katika tume ya IEBC na sasa kilichosalia ni kuchapishwa rasmi kwa majina yao kwenye gazeti rasmi la […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































