IKULU KITOVU CHA UFISADI- GACHAGUA

Ripoti za ufujaji wa fedha kupitia bima ya afya SHA zimeendelea kuibua mijadala nchini, aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua sasa akidai kuwa bima hiyo ni Sakata ya ufisadi ambayo lengo lake ni kufuja mabilioni ya fedha za mlipa ushuru. Akizungumza kwenye kaunti ya Kajiado, Gachagua amekariri kauli yake kwa ikulu ndicho kitovu cha ufisadi nchini […]

EGP AU MWONDOKE, RUTO

Wakati uo huo, mzozo kati ya baraza la magavana na serikali kuu kuhusu matumizi ya mfumo wa ununuzi wa kielekroniki umeendelea kutokota, Rais William Ruto akisisitiza kuwa mfumo huo utatekelezwa kwa lazima. Akizungumza katika hafla ya kanisa kwenye kaunti ya Siaya, Rais Ruto amewataka maafisa wote wa ununuzi wanaopinga matumizi ya mfumo huo kujiuzulu. Msimamo […]

MAGAVANA KUJADILI EGP JUMATATU

Magavana wameratibu mkutano maalum hii leo kujadili mfumo wa ununuzi kwa njia ya kieletroniki ambao umezinduliwa na serikali kuu, wakisisitiza kuwa changamoto zilizo kwenye mfumo huo ni sharti ziangaziwe kabla yao kuukumbatia. Wakiongozwa na mwenyekiti wa baraza la magavana Ahmed Abdullahi, magavana wamepinga dhana kwamba wanapinga mfumo huo, licha ya serikali kuu kushikilia kwamba ni […]

WAACHENI WAKENYA HAI, KK YAAMBIWA

Waziri wa afya Aden Duale ameendelea kujipata chini ya shinikizo za kumtaka ajiuzulu kuhusu madai ya ufisadi katika bima ya afya SHA mbali na kudorora kwa sekta ya afya nchini. Wabunge wa upinzani wanaogemea vuguvu la Kenya Mpya, wamekariri kuwa ni sharti Duale aondoke afisini la sivyo wawasilishe hoja ya kumtimua bungeni. Hata hivyo, Duale […]