AFISA ALIYE UAWA HAITI ATAMBULIWA
Afisa wa polisi wa kikosi cha Kenya aliyefariki kwenye ajali mbaya ya barabarani Jumapili nchini Haiti ametambuliwa kama Koplo Kennedy Mutuku, mweye umri wa miaka 41. Cue in Shadrack Maina Kupitia taarifa, kikosi cha Pamoja cha mataifa mbali mbali kinachoendesha operesheni ya amani nchini humo MSS, kimemtaja Mutuku kuwa afisa shupavu wa kikosi cha 3 […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































