KOCHA WA AFC LEOPARDS, FRED AMBANI, AMEMSIFU MSHAMBULIAJI VICTOR OMUNE
Kocha wa AFC Leopards, Fred Ambani, amemsifu mshambuliajiwa Harambee Stars, Victor Omune, kwa mchango wake muhimuuliowasaidia Ingwe kuibuka na ushindi wa 2–1 dhidi ya ShabanaFC katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Gusii.Ushindi huo umeendeleza rekodi ya kutopoteza mechi kwaLeopards kwenye Ligi Kuu ya SportPesa 2025, huku ukiongezapresha kwa Shabana ambao sasa hawajashinda katika mechi nnemfululizo.Shabana walitangulia […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































