DROO YA CAF CONFEDERATIONS
Jumla ya klabu 16 zinasubiri kwa hamu kufahamu wapinzani wao katika awamu ya makundi ya mechi za mashirikisho bara Afrika yaani CAF Confederations Cup itakayoandaliwa tarehe 3 mwezi ujao nchini Afrika Kusini. Timu hizo, ikiwemo mwakilishi wa pekee wa Kenya Nairobi United, zilifuzu awamu ya makundi baada ya mkondo wa pili kutamatika wikendi iliyopita, zikijumuisha […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































