ROBO TATU YA KAMPUNI NCHINI ZASHINDWA KULIPA KODI
Ni pigo kwa mamlaka ya ushuru KRA baada ya takwimu za mwaka wa kifedha unaoisha Juni 2025, kuonyesha kuwa kampuni 156,232 pekee zililipa ushuru wa mapato ya shirika (CIT), ikiwa ni asilimia 25.2 ya kampuni zote zinazofanya kazi nchini. Kulingana na ripoti kutoka mamalaka hiyo, kampuni 461,969 kati ya kampuni 618,201 zilizosajiliwa zilishindwa kutimiza majukumu yao ya ushuru licha ya dhuluma […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































