KYLLIAN MBAPPE YUKO SAWA, DESCHAMPS
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amethibitisha kuwa mshambulizi matata wa timu hiyo na klabu ya Real Madrid Kylian Mbape yuko sawa kushiriki mechi ya kuwania kufuzu katika kombe ka dunia litakaloandaliwa mwaka ujao. Mbappe ambaye amekuwa tegemeo kwa Les Blues msimu huu, aliondoka uwanjani akichechemea mwishoni mwa mechi kati ya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































