HAALAND AWAKA MOTO EPL
Mshambulizi wa Manchester City Erling Haaland ameendelea kuonyesha ustadhi wake mbele ya lango baada ya kufunga bao lake la 9 katika ligi kuu nchini Uingereza EPL hapo jana. Bao la pekee la raia huyo wa Norway liliipa City ushindi muhimu dhidi ya Brentford, City wakichupa hadi nafasi ya tano, alama 3 nyuma ya vigogo Arsenal […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































