OGAMBA AWARAI WAHADHIRI KUELEWA HALI
Huku shughuli za masomo zikilemazwa katika vyuo vikuu vya umma kwa siku 50 kutokana na mgomo wa wahadhiri, Waziri wa elimu Julius Ogamba ametoa wito kwa wahadhiri kukubali malipo kwa awamu 2 na kurejea kazini ili kuokoa hali vyuoni. Kwa mujibu wa Ogamba, serikali kukubali kutoa malipo hayo japo kwa awamu hizo, ni ishara ya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































