WAVUNJAJI WA SHERIA ZA MITIHANI WANASWA

Jumla ya watu 36 waliokamatwa kuhusiana na visa vya udanganyifu wa mitihani unaoendelea wa KCSE wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo kufunguliwa mashtaka ya ukiukaji wa mwongozo wa mitihani ya kitaifa. Miongoni mwa waliokamatwa ni wanafunzi wa vyuo vikuu 3 waliokauwa wakiwafanyia wanafunzi mitihani katika kaunti ya Nairobi na Kericho, wengine wakiwa watahiniwa waliopatikana na simu, […]

BAYERN WATAISHINDA PSG ASEMA NEUER

Kipa mkongwe wa Bayern Munich, Manuel Neuer, amesemakwamba timu yake inajua jinsi ya kuumiza mabingwa wateteziwa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG),watakapokutana hii leo katika michuano hiyoPSG walitwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa mwaka jana katikauwanja wa Allianz Arena wa Bayern, baada ya kuichapa InterMilan mabao 5–0.Hata hivyo, Bayern wanashuka Parc des Princes wakiwa […]

LIONESSES WAJIANDAA KWA MICHUANO YA RAGA AFRIKA

Timu ya taifa ya Kenya ya Raga ya Wanawake – Lionesses,inajiandaa upya kukutana na vigogo wa bara la Afrika katikamichuano ya Rugby Africa Women’s Sevens itakayofanyikakatika Uwanja wa RFUEA, jijini Nairobi.Mashindano hayo ya siku mbili yanatarajiwa kuvutia mataifa 12,yatakayopambana kwa ubabe ili kutwaa ubingwa wa mwaka huuna kuwasha upya upinzani mkali wa kihistoria.Toleo hili linatarajiwa […]

IDARA YA UTABIRI WA HALI YA HEWA YAONYA KUSHUHUDIWA KWA MAFURIKO ZAIDI MWEZI HUU

Idara ya utabiri wa Hali ya Hewa nchini imetoa taarifa   ikionya kwamba mvua kubwa inayonyesha katika maeneo kadhaa ya nchi itaendelea hadi mwisho wa mwezi huu, na hivyo kuongeza hatari ya mafuriko na maporomoko ya ardhi katika maeneo tofauti tofauti nchini. Idara hiyo imeeleza kuwa mvua iliyokuwa ikinyesha mwezi Oktoba ilisababisha machafuko na iliyosababishwa na mafuriko, hasa magharibi mwa Kenya. Imetayarishwa na Jones Koikai

RAIS RUTO APATA UUNGWAJI MKONO NCHINI QATAR ILI KUENDELEZA MIRADI NCHINI

Rais William Ruto amepata uungwaji mkono  kutoka nchi ya Qatar ili kuendeleza mipango ya Kenya ya kuimarisha miundo msingi. Makubaliano hayo yameafikiwa hii leo wakati wa mazungumzo na Emir Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani huko Doha Ruto amesema kuwa  Qatar itaongeza uwekezaji katika maeneo muhimu, ikiwemo kilimo, miundombinu na fedha Imetayarishwa na Jones Koikai

NAIROBI UNITED KUMENYANA NA AZAM, MIAMBA

Klabu ya Nairobi United itamenyana na miamba wa Morocco Wydad Casablanca, AS Maniema ya DR Congo na Azam ya Tanzania kwenye kundi B la awamu ya makundi ya kipute cha klabu bingwa ya mashirikisho barani Africa, CAF Confederations Cup msimu huu wa 2025-26. Droo ya makundi ambapo timu itacheza nyumbani na ugenini dhidi ya kila […]

WADAU WAONYWA DHIDI YA WIZI WA MTIHANI

Washikadau katika zoezi la mtihani wa kidato cha 4 KCSE unaoendelea wametakiwa kujiepusha na visa vya udanganyifu ili kudumisha uadilifu wa mtihani huo. Akizungumza baada ya kuongoza zoezi la ufunguzi wa kasha la mitihani hiyo katika eneo bunge la Webuye East, kamishna wa baraza la mitihani wa kitaifa KNEC Zephaniah Koech ameonya kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya […]

MATUKIO YA KCSE 2025

Ukiukaji wa kanuni za zinazoongoza mitihani ya kitaifa ni miongoni mwa visa viliyoripotiwa kwenye siku ya kwanza ya mtihani wa kidato cha 4 KCSE hapo jana, mwalimu mkuu mmoja katika kaunti ya Narok akisimamishwa kazi kwa muda ili kupisha uchunguzi dhidi yake. Kulingana na mkuu wa elimu katika kaunti hiyo Apollo Apuka, mwalimu huyo alipatikana […]

HARRY KANE AVUTIWA NA BARCELONA

Ambapo mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane,anaripotiwa kufikiria kujiunga na Barcelona msimu ujao.Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wamiaka 32 ana kipengele cha kuachiliwa kwa euro milioni 65,kitakachoanza kutumika majira ya kiangazi yajayo.Wakati huo huo, Manchester United na Tottenham Hotspurwanaripotiwa kumfuatilia kwa karibu beki wa Everton, JarradBranthwaite,ingawa klabu ya Goodison Park imesisitiza kuwa […]

GUARDIOLA  ALAUMU WAAMUZI WA EPL

Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amewashambuliawaamuzi wa Ligi Kuu ya Uingereza, akidai kuwa amekuwaakikumbwa na maamuzi yenye utata kwa kipindi cha miaka kumibila kupata maelezo ya kuridhisha kutoka kwao.Guardiola alionekana mwenye hasira baada ya mwamuziAnthony Taylor na timu yake – ikiwemo wale wa VAR –kuruhusu bao la Tyler Adams wa Bournemouth kusimamawakati wa mechi […]