MBUNGE KAKAI ASHINIKIZA SULUHU YA KUDUMU KWA MAFURIKO
Serikali imetakiwa kusaka makazi ya kudumu kwa waathiriwa wa mafuriko ambao huathirika kila msimu wa mvua katika kaunti ya Trans Nzoia, ili kuwaondolea mahangaiko ya kukosa makazi. Katika kikao na wanahabari baada ya kutoa misaada kwa waathiriwa katika eneo la Machungwa, mbunge wa Kiminini Kakai Bisau, amesema hiyo ndiyo njia mwafaka ya kuepusha hasara ya […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































