HAMNA SHINIKIZO KWA NAIBOIS, MUYOTI
Kocha mkuu wa Nairobi United Nicolas Muyoti ameelezea matumaini ya timu yake kumaliza miongoni mwa 5 bora msimu huu wa kwanza katika ligi kuu nchini, akisema hawana shinikizo za kupigania taji hilo msimu huu. Muyoti ambaye awali alikuwa kocha mkuu wa City Stars na Kakamega Homeboyz, amesema klabu hiyo itaanza kuangazia kutwaa taji hilo baada […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































