FKF KUIMARISHA SOKA KUFUATIA MASAIBU YA JUNIOR STARS
Shirikisho la soka nchini FKF limedokeza kuimarisha soka ya vijana baada ya timu ya taifa ya vijana wasiozidi umri wa miaka 17 Junior Starlets kunyimwa tiketi ya kufuzu mashindano ya mataifa bingwa barani Afrika kwa chipukizi AFCON U17. Matumaini ya chipukizi hao yalizimwa hapo jana baada ya kudhalilishwa kwa mabao 3 bila jibu na majirani […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































