MTU MMOJA AFARIKI MOLO KUFUATIA AJALI
Dereva wa lori ameripotiwa kufariki usiku wa kuamkia leo katika ajali iliyotokea huko Molo kando ya barabara kuu ya Eldoret-Nakuru . Afisa wa usalama barabarani wa kaunti ya Nakuru, Emmanuel Opuru, amethibitisha tukio hilo, akisema dereva wa lori alifariki papo hapo. Huku kadhaa wakipata majeraha na kukimbizwa katika hospitali mbalimbali, ikiwa ni pamoja na hospitali […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































