ODM YATOA MASHARTI KWA KENYA KWANZA

Chama cha ODM kimeshinikiza mazungumzo na serikali ya Kenya Kwanza kuhusu mgao wa nyadhifa kuu kabla ya uchaguzi mkuu ujao, licha ya ahadi yake ya kuiunga mkono serikali hiyo. Kikiongozwa na naibu kinara na ambaye pia ni seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi na kiongozi wa walio wachache bungeni Junet Mohammed, ODM imesema haitajiunga na serikali […]

TAHADHARI YA KIAFYA

Umeshauriwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya magonjwa mbali mbali msimu huu wa sherehe ikiwemo kudumisha usafi na kuepuka maeneo yenye watu wengi ili kuepuka kuambukizwa au kueneza maambukizi. Kupitia taarifa, katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni amesema ni kawaida kwa magonjwa ya kuambukizana kuenezwa msimu huu kutokana na watu kusafiri kwa wingi, mengi […]

WATAHINIWA WA KJSEA KUREKEBISHA SHULE

Wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 katika shule za sekondari ya juu wamepewa fursa ya kufanya marekebisho ya shule walizowekwa na serikali kuanzia kesho, baada ya kuripotiwa dosari ikiwemo baadhi ya wanafunzi kuwekwa kwenye shule za jinsia zisizofaa. Katibu katika idara ya elimu ya msingi Julius Bitok, amesema zoezi hilo la siku 7 litafanyika katika […]

MAHANGAIKOYA KRISMASI

Ongezeko la nauli, uhaba wa magari na msongamano barabarani ndizo changamoto kuu kwa wasafiri msimu huu wa Krisimasi, wahudumu wa magari wakiripotiwa kupandisha nauli hadi maradufu kutokana na idadi ya juu ya wasafiri. Wengi wa wasafiri wamekwama katika vituo vya magari jijini Nairobi kutokana na ukosefu wa magari, huku wakitoa wito kwa serikali kudhibiti sekta […]

The Ultimate Guide to Free Bet Promotions

As a seasoned online bettor with 16 years of experience, I have seen my fair share of free bet promotions come and go. In this article, I will provide you with all the essential information you need to know about free bet promotions, including where to find them, how to use them to your advantage, […]

ALONSO CHINI YA PRESHA KABLA YA MECHI MUHIMU DHIDI YA SEVILLA

Kocha wa Real Madrid Xabi Alonso, anayekabiliwa na presha kubwa, anatarajia kubakikazini kipindi cha sikukuu ya Krismasi lakini atalazimika kwanza kuiongoza Los Blancoskupata ushindi wa La Liga dhidi ya Sevilla ili kuwaridhisha mabosi wa klabu hiyo.Presha imeongezeka kwa kocha huyo raia wa Hispania katika wiki za hivi karibuni kufuatiakushuka kwa kiwango cha timu, huku tetesi […]

MATANO AWAAMINI OMONDI NA ETEMESI DHIDI YA SHABANA

Kocha mkuu wa KCB, Robert Matano, ameweka matumaini yake kwa kiungo RichardOmondi na mshambuliaji Kelvin Etemesi huku benki hao wakijiandaa kuivaa Shabana sikuya Jumatatu.Matano ana imani na nyota hao kufuatia onyesho kali la KCB Jumanne dhidi ya APS Bomet,ambapo walishinda 4-2 katika mechi ya ligi.Etemesi alirejea katika ubora wake wa kufunga kwa mtindo wa kuvutia, […]

RAIS RUTO ASIFU USHINDI WA WA DAVID MUNYUA KWENYE DARTS

Rais William Ruto amepongeza ushindi wa kihistoria wa David Munyua katika Mashindanoya Dunia ya Darts ya Paddy Power 2025/26, ushindi uliotikisa taifa na kuzua fahari kubwa yakitaifa.Munyua ambaye ni daktari wa mifugo mwenye umri wa miaka 30 kutoka Murang’a,aliandika historia baada ya kuwa Mkenya wa kwanza kushiriki na kushinda mechi katikamashindano hayo maarufu yaliyofanyika Alexandra […]

CHINA YAKUBALI KUONGEZA ULIPAJI WA MKOPO WA SGR HADI 2040

China imekubali kuongeza muda wa ulipaji wa mikopo mitatu ya China iliyotumika kujenga Reli ya Standard Gauge (SGR) hadi 2040, na hivyo kupunguza shinikizo la ulipaji wa kila robo mwaka kwa taifa la Kenya. Hazina ya Kitaifa imesema kuwa imejadili upya mikopo hiyo nakukubaliana kufanya malipo kwa kipindi cha miaka 15, kuanzia mwaka huu, ambacho kinajumuisha kipindi kipya cha ufadhili cha […]

KINDIKI AITETEA AZMA YA “SINGAPORE MPYA”

Naibu rais Kithure Kindiki ametetea azma ya Rais William Ruto kuifanya Kenya kuwa miongoni mwa mataifa yaliyostawi kiuchumi duniani, akisema Kenya inaweza kuafikia viwango vya Singapore. Wakosoaji wamekuwa wakilinganisha ukubwa wa Kenya na taifa hilo la Asia, ambalo lina ukubwa wa kilomita mrava 735 pekee. Hata hivyo, Kindiki amesema kuwa hilo halifai kutumiwa katika kutathmini […]