RUTO:MIMI NDIO BORA
Rais William Ruto ameendelea kujiwasilisha kama suluhu kwa matatizo yanayowakumba vijana mfano wa ukosefu wa ajira, huku akiukosoa muungano wa upinzani kama usio na ufahamu kwa changamoto hizo. Akizungumza katika eneo la Acher’s Post kaunti ya Samburu, Ruto amewataka vijana kujiepusha na viongozi anaowataja kama wachochezi, na badala yake kuwapiga msasa viongozi wao kutokana na […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































