HOWE APINGA MABADILIKO YA KANUNI ANAPOJIANDAA KWA CITY
Kocha wa Newcastle United, Eddie Howe, amekiri kuwa hangeunga mkono mabadiliko ya kanuni yaliyowezesha timu yake kukutana na Antoine Semenyo wakati watakapocheza dhidi ya Manchester City leo usiku katika mkondo wa kwanza wa mechi ya semi fainali ya Carabao Cup. Mabingwa hao watetezi wa Kombe la Carabao wanakabiliwa na mtihani mgumu hadi sasa katika jitihada zao za kutetea […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































