MADURO ASISITIZA ANGALI RAIS WA VENEZUELA
Rais wa Venezuela aliyebanduliwa mamlakani na jeshi la Marekani Nicolas Maduro, amekana mashtaka ya ulanguzi wa dawa za kulevya na mashtaka mengine alipofikishwa katika mahakama za New York. Maduro mwenye umri wa miaka 63, amesisitiza kwamba angali rais wa Venezuela licha ya kubanduliwa na kutekwa nyara Jumamosi iliyopita. Mkewe rais huyo Cilia Flores, pia amekana […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































