DUALE, KUCO WAKOSA MWAFAKA
Huenda wakenya wakaendelea kuhangaika kupata matibabu kutokana na mgomo wa maafisa wa kliniki unaoendelea kutokana na mvutano kati ya viongozi wa muungano wa maafisa hao KUCO na Waziri wa afya Aden Duale, ambaye amedinda kutia saini mkataba wa maelewano ya kurejea kazini ulioidhinishwa na tume ya kuratibu mishahara ya wafanyakazi wa umma SRC. Kwa mujibu […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































