BIDCO YAANZA KUONYESHA DALILI ZA KUIMARIKA
Kocha mkuu wa Bidco United Anthony “Vieira” Akhulia amechukua jukumu kamili kwa msimu mgumu wa klabu hiyo akisisitiza kuwa timu inaonyesha dalili za kuimarika licha ya kuwa kwenye hatari ya kushuka daraja. Akizungumza baada ya sare ya bao 1–1 ugenini dhidi ya Kenya Police FC, Akhulia amesema msimu ulianza kwa matumaini makubwa kabla ya mambo […]
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































