BENIN WAWAWEKA STARLETS KWENYE RATILI YA KICHAPO

Ukosefu wa maandalizi ya kutosha kwa timu ya taifa ya soka ya wanawake Harambee Starlets uliwekwa wazi jana usiku, wakati vipusa hao wa Beldine Odemba walizabwa mabao 2-0 na Benin kwenye mechi ya kirafiki. Mechi hiyo ilichezewa jijini Abidjan, Ivory Coast ambako pia Starlets wanajiandaa kwa mechi nyingine dhidi ya wenyeji. Kichapo hicho kiliweka wazi […]

LIGI INAHARIBIWA NA UPANGAJI WA MECHI- MUYOTI

Kocha mkuu wa klabu ya Police FC Nicholas Muyoti, ameibua hofu kuhusiana na visa vya upangaji wa mechi, yaani match-fixing, akionya kuwa hali hiyo imesababisha kudorora kwa uadilifu wa kandanda nchini. Muyoti ni mshikadau wa hivi punde kuibua madai ya upangaji wa mechi, baada ya kocha wa zamani wa Tusker FC Charles Okere kuibua madai […]

KAMERA BARABARANI KUDHIBITI AJALI

Jumla ya watu 5,000 waliaga dunia mwaka jana pekee wa 2025 kutokana na ajali za barabarani, ikiwa ni idadi ya juu zaidi ikilinganishwa na mwaka 2024. Haya ni kulingana na ripoti iliyokabidhiwa Rais William Ruto, ambaye amesema kamera zitawekwa barabarani ndani ya mwezi mmoja ujao ili kuwanasa wanaokiuka sheria za trafiki, ikiwa ni sehemu ya […]

SERIKALI: KATIBA IREKEBISHWE KUOKOA UCHUMI

Serikali sasa imependekeza marekebisho ya katiba ili kupunguza gharama ya serikali pamoja na mzigo mkubwa wa mishahara ya wafanyakazi wa umma. Akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu masuala ya bajeti, Waziri wa fedha John Mbadi, ameibua hofu kwamba huenda uchumi wa nchi ukashindwa kumudu gharama ya juu ya serikali, akisema katika mapendekezo ya bajeti […]

KINDIKI AHIMIZA ADABU MIONGONI MWA VIONGOZI

Viongozi nchini wamehimizwa kuhubiriwa mshikamano na kujiepusha na semi zinazoweza kuwachochea wananchi au kupotosha maadili ya taifa. Akizungumza mjini Meru baada ya ukaguzi wa ujenzi unaoendelea wa hospitali ya level 6, naibu Rais Kithure Kindiki amesema ana imani kwamba atamkabili kisiasa mtangulizi wake Rigathi Gachagua hasa kuhusiana na mwelekeo wa eneo la Mlima Kenya kisiasa. […]

HAJA YA MAFUNZO YA HUDUMA ZA KWANZA YAIBUKA

Wakenya wamehimizwa kupata mafunzo ya kutoa huduma za kwanza ili kupunguza maafa wakati wa mkasa au ajali katika maeneo ya mashinani kama ile ya ndege iliyotokea katika eneo la Mosop kaunti ya Nandi wikendi iliyopita. Jacobeth Jeptoo, mwanafunzi wa uuguzi aliyejitolea kutoa huduma za kwanza kwa waathiriwa wa ajali hiyo iliyowaua watu 6, amesema mafunzo […]

Play Online Roulette in Arkansas: A Spin on the Future of Gaming

The bright neon of Las Vegas, the steady hum of Atlantic City, and the quiet buzz of a home office all vie for the modern gambler’s attention. Yet a quieter revolution is taking shape in the heartland: Arkansas is quietly becoming a hub for online roulette lovers. With a forward‑looking regulatory framework, cutting‑edge platforms, and […]

MESSI ANG’ARA INTER MIAMI IKISHINDA ORLANDO 4-2

Nahodha wa Inter Miami, Lionel Messi, alifunga mabao mawili wakati timu yake ilipindua matokeo na kuibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Orlando City SC katika dabi ya Florida. Orlando walionekana kuelekea ushindi baada ya mabao ya Marco Pasalic na Martin Ojeda kuwapa uongozi wa 2-0 ndani ya dakika 25 za mwanzo. Hata hivyo, bao […]

AKONNOR BADO HARIDHIKI LICHA YA GOR MAHIA KUSHINDA

Gor Mahia FC wameimarisha nafasi yao katika mbio za ubingwa wa Ligi ya SportPesa, lakini kocha mkuu Charles Akonnor hakuonekana kuridhishwa licha ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mathare United katika Uwanja wa Nyayo. Ingawa matokeo hayo yameongeza matumaini ya Gor Mahia kutwaa taji, Akonnor ameweka wazi kuwa anatarajia kiwango cha juu zaidi kutoka […]

AMONDE ASIFU UTHABITI WA KCB BAADA YA KUICHAPA OILERS

Kocha mkuu wa timu ya Raga ya KCB, Andrew Amonde, amewapongeza wachezaji wake kwa uthabiti na utulivu wao baada ya kuonyesha kiwango cha juu kipindi cha pili na kuibuka na ushindi wa alama 25-15 dhidi ya Menengai Oilers katika pambano kali la Kenya Cup lililochezwa kwenye Uwanja wa ASK Showground, Nakuru, Jumamosi. Ushindi huo mgumu umehitimisha rekodi […]