HOMA BAY YAANZISHA MIPANGO YA KUFUNFUA VIWANDA HUKO KARACHUONYO
Serikali ya kaunti ya Homa Bay inatayarisha mpango mkuu wa kuanzisha viwanda katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Riwa katika eneo bunge la Karachuonyo. Mpango huo unaandaliwa baada ya uchunguzi wa hali ya hewa kufanyika ili kuiwezesha serikali kuweka ramani na kutambua maeneo ambayo viwanda vitaanzishwa. Serikali ya kaunti hiyo inashirikiana na mashirika mengine, Mamlaka […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































