EMERGING STARS WACHARAZA ZIMBABWE 2-0
Emerging stars jana walirejea katika njia za ushindi katika michuano ya Cosafa mwaka huu inayoendelea ambapo waliandikisha ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Zimbabwe katika uwanja wa Wolfson mjini port Victoria Afrika Kusini Osteen Odhiambo alifunga mbao la kwanza dakika ya 54 naye benson Omala akaongeza la pili dakika ya 73. Emerging starrs walimaliza katika […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































