NDANGIRI ANAAPA KUNYAKUA TAJI LA PILI LA KENYA LA U-20
Mshindi wa medali ya shaba ya mbio za mita 10,000 kwa Waafrika 2023, Stephen Ndangiri, ameapa kutwaa taji la dunia la mbio za wat5u walio na umri chini ya miaka 20 U20 mjini Lima, Peru, michuano hiyo itakapoanza Taji pekee la awali la Kenya katika hafla hii lilitoka kwa Haristone Wanyonyi, ambaye alitumia 42:10.84 mnamo […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































