MUUNGANO WA WANAFUNZI WA AFRIKA MASHARIKI WAUNGA MKONO RAILA KUWA MWENYEKITI WA AUC

Muungano wa wanafunzi wa afrika masharika umeunga mkono hazima ya kiongozi wa azimio raila Odinga kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa AUC. Wamemtaja Odinga kuwa kiongozi mwenye tajriba inayostahili kwa wadhifa huo. Hii inajiri baada ya Odinga tangazwa rasmi na rais William Ruto kwenye hafla iliyohudhuriwa na maraisi wa ukanda wa afrika mashariki. Imetayarishwa na Janice Marete

MVULANA WA MIKA 17 ATUMBUKIA MTO KIMININI

Wakaazi wa eneo la Birunda kaunti ya Transnzoia wanaendelea kuusaka mwili wa mvulana wa miaka 17 aliyetumbukia katika mto Kiminini. Wakaazi hao wametoa wito kwa shirika la msalaba mwekundu kushirikiana na serikali ya kaunti na kuwatuma wapiga mbiziwenye uzoefu ili kuharakisha shughuli hiyo. Imetayarishwa na Janice Marete

MANCHESTA UNITED WAMSAJILI MANUEL UGARTE

Machesta united wana makubaliano na PSG kwa ajili ya kumsajili kiungo Mannuel Orgate, man u watalipa pauni milioni 42.2 lakini dili hilo linaweza kuwa na thamani ya pauni milioni 50.7 ikijumuisha nyongeza zinazohusiana na utendakazi wake. Orgate ambaye alikuwa analengwa na klabu kwa safu ya kiungo katika kipindi chote cha dirisha ndogo yuko nchin I […]

BULLETS WAJARIBU KUTOA USHINDI DHIDI YA BENKI KUU YA ETHIOPIA

Beldine Odemba, ambaye bila shaka ndiye mkufunzi wa kike aliyepambwa zaidi nchini Kenya, amesalia dakika 90 kufikia hatua nyingine baada ya kuiongoza Police Bullets kutinga fainali ya Cecafa Zonal Caf Women’s mjini Addis Ababa, Ethiopia. Bullets iliishinda Simba Queens kwa mabao 3-2 katika mchezo wa nusu fainali siku ya Jumatatu na kukata miadi na wenyeji, […]

HARAMBEE STARS YAJIANDAA KWA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2025

Kocha mkuu wa Harambee Stars Engin Firat ana imani timu yake itapita Zimbabwe na Namibia katika mechi zao za ufunguzi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2025. Stars itamenyana na Warriors ya Zimbabwe kwenye Uwanja wa Taifa wa Mandela mjini Namboole, Uganda, Septemba 4 na kumenyana na Brave Warriors ya Namibia kwenye Uwanja […]

SAFARI YA ‘CANAAN’ KWA RAILA YAANZA

Safari ya kiongozi wa Azimio kutwaa uongozi wa bara la Afrika imeanza rasmi katika ikulu ya Nairobi baada ya Rais William Ruto kumwidhinisha rasmi kuwania wadhifa wa uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika AUC Wakati wa hafla hiyo, Ruto ameonyesha imani yake katika uwezo wa Odinga kuongoza bara la Afrika hasa kutokana na tajriba […]

VIONGOZI AFRIKA WAMUUNGA ODINGA MKONO

Azma ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuwania wadhifa wa uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika AUC imepigwa jeki baada ya viongozi mbali mbali wa bara la Afrika kutangaza kumuunga mkono. Viongozi hao ni Pamoja na rais wa Uganda Yoweri Museveni, Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, Salva Kiir wa South Sudan, rais wa zamani […]

‘MUSYOKA NDIYE KIONGOZI WA UPINZANI’

Kiongozi wa chama cha DAPK Eugene Wamalwa amemtangaza kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka kuwa kiongozi rasmi wa upinzani, akipuuzilia mbali hofu kwamba kutakuwa na mwanya wa uongozi wa upinzani kufutia kuondoka kwa Raila Odinga. Licha ya kuunga mkono azma ya Odinga, Wamalwa na Musyoka wamesema hatua yao ya kukosa kuhudhuria uzinduzi wa uwaniaji wa Odinga […]

OGAMBA AHAKIKISHA SULUHU LIPO

Waziri wa Elimu Julius Ogamba ameonyesha matumaini kwamba mazungumzo baina ya wizara hiyo na muungano wa KUPPET yatazaa matunda, na kuongeza kuwa serikali imetekeleza kikamilifu awamu ya pili ya mkataba wa maelewano na walimu. Katika taarifa kwa wanahabari, Ogamba amesema kuwa masuala mengine yanaangaziwa na tume ya kuwaajiri walimu TSC Aidha, amesema licha ya ukosefu […]

RUTO AIDHINISHA RASMI AZMA YA ODINGA

Rais William Ruto amemwidhinisha rasmi hasimu wake wa muda mrefu wa kisiasa ambaye ni kiongozi wa Azimio Raila Odinga kuwania wadhifa wa uwenyekiti wa tume ya umoja wa Afrika AUC wakati wa hafla ya kufana katika ikulu ya Nairobi. Wakati wa hafla hiyo, Ruto ameonyesha imani yake katika uwezo wa Odinga kuongoza bara la Afrika […]