MUDAVADI; NAUNGA MKONA HAZIMA YA RAILA 100%
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesema kuwa yuko tayarai kumunga mkono kinara wa ODM Raila Odinga katika hazima yake ya kuwania wadhifa wa mwenyekiti wa umoja wa afrika AUC. Kwa mujibu wa Mudavadi Odinga hawakilishi tu taifa la kenya bali bara nzima la afrika kwa kuwa anajumuisha matarajio ya mamilioni ya waafrika wanaotafuta bara […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































