WANARIADHA WANAZIDI KUMUOMBELEZA REBBECCA
Wanariadha wamemuomboleza mwendazake Rebecca Cheptegei kama mwanariadha mwenye kipawa ambaye alitazamiwa kuwa mmoja wa wanariadha bora wa mbio za masafa marefu katika ukanda huu. Wakiongozwa na mshirika mwenza mazoezini James Kirwa, walisema marehemu aliyefariki akiwa na umri wa miaka 33 alikuwa mkarimu na amewasaidia wakimbiaji wengine kifedha. Cheptegei, ambaye alishiriki katika Michezo ya Olimpiki ya […]
English 






























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































