GAVANA LENOLKULAL APINGA HUKUMU
Gavana wa zamani wa Samburu Moses Lenolkulal amekata rufaa dhidi ya hukumu aliyopewa na mahakama wiki jana baada ya kupatikana na hatia ya ufisadi inayohusu shilingi milioni 83.4 alipokuwa mamlakani. Kupitia kwa mawakili wake, Lenolkulal anasema kulikuwa na dosari katika hukumu hiyo na kumshutumu hakimu Thomas Nzioka kwa kukosa kufanya uchunguzi wa kina kwenye ushahidi, […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































