BUNGE LAMWIDHINISHA KANJA KUWA INSPEKTA MKUU
Hatimaye bunge la kitaifa limemwidhinisha Douglas Kanja kuwa inspekta mkuu wa polisi, na sasa anasubiri uteuzi rasmi wa Rais William Ruto. Kanja aliyetueliwa mnamo tarehe 25 mwezi Julai, aidha amepewa mamlaka ya kutoa amri kwa maafisa wa idara ya kitaifa ya polisi. Kanja alilazimika kuondoka kwenye wadhifa huo aliokuwa akishikilia na kumpisha naibu wake wa […]
English 














































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































